Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza

Featured

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Kwanza

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kuelewa Mamlaka ya Mungu Kutoka kwa Mitazamo Mikubwa na Midogo
Hatima ya Binadamu na Hatima ya Ulimwengu Haviwezi Kutenganishwa na Ukuu wa Muumba

Iliyotazamwa Mara Nyingi: Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Saba

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Pili

Featured

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Pili

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kwenye Siku ya Nne, Misimu, Siku, na Miaka ya Mwanadamu Iliumbika Huku Mungu Akionyesha Mamlaka Yake kwa Mara Nyingine Tena
Kwenye Siku ya Tano, Maisha ya Maumbo Tofauti na Pana Yaonyesha Mamlaka ya Muumba kwa Njia Tofauti
Kwenye Siku ya Sita, Muumba Aongea, na Kila Aina ya Kiumbe Hai Akilini Mwake Chajitokeza, Kimoja Baada ya Kingine
Katika Mamlaka ya Muumba, Viumbe Vyote ni Timilifu
Hakuna Kiumbe Chochote Kati ya Vile Vilivyoumbwa na Vile Ambavyo Havikuumbwa Kinaweza Kubadilisha Utambulisho wa Muumba

Tazama zaidi: Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Tano

Featured

Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Tano

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii:

Aina Tano za Watu

Aina ya Kwanza: Hatua ya Mtoto Mchanga aliyefungwa kwa Vitambaa

Aina ya Pili: Hatua ya Mtoto Mchanga Anayenyonya

Aina ya Tatu: Hatua ya Mtoto Mchanga Anayeachishwa Ziwa, au Hatua ya Mtoto Mdogo Continue reading

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Kuhusu Majina na Utambulisho” (Sehemu ya Kwanza)

Featured

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Kuhusu Majina na Utambulisho” (Sehemu ya Kwanza)

Mwenyezi Mungu anasema, “Yesu aliwakilisha Roho wa Mungu, na Alikuwa Roho wa Mungu Akifanya kazi moja kwa moja. Alifanya kazi ya enzi mpya, kazi ambayo hakuna aliyekuwa amefanya mbeleni. Yeye Alifungua njia mpya, Alimwakilisha Yehova, na Alimwakilisha Mungu Mwenyewe. Ilhali kwa Petro, Paulo na Daudi, bila kujali walichoitwa, waliwakilisha tu utambulisho wa kiumbe wa Mungu, ama walitumwa na Yesu na Yehova. Continue reading

Wimbo wa Kuabudu 2019 | “Mungu Anashuka na Hukumu” | Christ of the Last Days Has Appeared

Featured

Wimbo wa Kuabudu 2019 | “Mungu Anashuka na Hukumu” | Christ of the Last Days Has Appeared

Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,

Mungu anageuka kuutazama ulimwengu na unaanza kutingika.

Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?

Ama kuishi katika janga Analotoa?

Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,

lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu na kuonyesha upendo Wake. Continue reading

Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Kwanza

Featured

Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Kwanza

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii:

Amri ya Yehova Mungu kwa Mwanadamu

Nyoka Anamshawishi Mwanamke

Iliyotazamwa Mara Nyingi: Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu”.Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Pili

Featured

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemu ya Pili

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii:

Awamu Sita katika Maisha ya Binadamu Kuzaliwa: Awamu ya Kwanza

1. Maisha Mapya Yanazaliwa Kulingana na Mipango ya Muumba

2. Kwa Nini Binadamu Tofauti Wanazaliwa Katika Hali Tofauti

Kukua: Awamu ya Pili Continue reading

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”

Featured

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wanachaguliwa”

Mwenyezi Mungu anasema, “Nawaita katika nyumba Yangu wale Niliowajaalia kulisikiliza neno Langu, kisha Nawaweka wote wanaotii na kulitarajia neno Langu mbele ya kiti Changu cha enzi. Wale wanaolisaliti neno Langu, wale wasiotii na kujisalimisha Kwangu, na wale wanaonipinga kwa wazi, watatupwa kando wakingoja adhabu ya mwisho. Wanadamu wote wanaishi katika upotovu na chini ya mkono wa yule mwovu, kwa hivyo sio wengi wanaonifuata wako na hamu ya ukweli kwa hakika. Hiyo ni kusema, wengi wao hawaniabudu kwa moyo wa kweli au kwa ukweli, lakini wanajaribu kupata uaminifu Wangu kupitia ufisadi, uasi na njia nyinginezo danganyifu. Continue reading

Neno la Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Uendelezo wa Sehemu ya Pili

Featured

Neno la Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Uendelezo wa Sehemu ya Pili

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii:

Kwenye Siku ya Nne, Misimu, Siku, na Miaka ya Mwanadamu Iliumbika Huku Mungu Akionyesha Mamlaka Yake kwa Mara Nyingine Tena

Kwenye Siku ya Tano, Maisha ya Maumbo Tofauti na Pana Yaonyesha Mamlaka ya Muumba kwa Njia Tofauti Continue reading

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza

Featured

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII ” Sehemu ya Kwanza

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu

Iliyotazamwa Mara Nyingi: Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Nane